Kesi dhidi ya Tundu Lissu yaahirishwa Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,665 views
    Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema, iliyokuwa isikilizwe hii leo imeahirishwa hadi tarehe 6 Mwezi Mei. Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alikamatwa wiki mbili zilizopita akiwa mkoani Ruvuma na kusomewa mashtaka ya uhaini. #TunduLissu #Chadema #Tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw