Kesi kuhusu kiwanda cha kawi ya makaa inaendelea Lamu

  • | Citizen TV
    164 views

    Kesi tata ya kiwanda cha kuzalisha kawi ya makaa inaendelea huku Mahakama ya Mazingira na Ardhi ya Malindi ikisikiza kesi hiyo ya rufaa