Kesi kuhusu upekuzi wa simu kuamuliwa kesho

  • | KBC Video
    521 views

    Aliyekuwa gavana wa Nyandarua Daniel Waithaka na afisa mkuu wa maswala ya maji katika serikali ya kaunti hiyo , Grace Gitonga , wametozwa faini ya shilingi milioni moja au kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani, kwa kuhusika kwenye sakata ya kandarasi ya shilingi milioni 50. Akitoa hukumu hiyo, hakimu mkuu Evans Keago, alisema ingawa hakuna fedha zilizopotezwa, kandarasi hiyo ilitolewa bila kuzingatia sheria na mpangilio uliowekwa . Haya na mengine ni kwenye mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive