Kesi ya uongozi wa kiwanda cha Mumias kuamuliwa Septemba Mwaka huu

  • | West TV
    60 views
    Kesi inayohusu utata wa usimamizi wa kiwanda cha sukari cha Mumias Jumatatu hii ilisikizwa mbele ya mahakama ya rufaa baada ya kuwasilishwa na kampuni ya Sarrai Group Limited pamoja na wakurugenzi wake huku mahakama ikitarajiwa kutoa uamuzi mnamo septemba mwaka huu.