Kevin anayeugua maradhi ya tumbo anaomba msaada wa 600,000 ili afanyiwe upasuaji

  • | KBC Video
    29 views

    Familia moja katika makazi ya mabanda ya Botori viungani mwa mji wa Kisii inaomba msaada wa kifedha wa kumsaidia kupokea matibabu mwanao anayeugua matatizo ya tumbo, hali inayomfanya kuenda haja kubwa kwa shida. Kevin Okwara alikuwa amefanyiwa upasuaji lakini baadaye akaruhusiwa kuenda nyumbani kabla ya kupata nafuu kutokana na ukosefu wa fedha. Familia ya Kevin inayoishi kwenye mtaa wa mabanda Kisii inahitaji shilingi laki sita ili alazwe tena hospitalini na kupata nafuu. Ili kumsaidia Kevin, tuma mchango wako kwa nambari ya Mpesa 0746242703.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive