Kiambu: Maelfu wapata hati miliki za ardhi zilizokuwa zikisubiriwa

  • | NTV Video
    186 views

    Wakazi wa Nachu Kikuyu kaunti ya Kiambu wanasherehekea baada ya kupokea hati miliki za ardhi zilizokuwa zikisubiriwa kwa muda mrefu kutokana na ushirikiano kati ya wizara ya ardhi ya serikali kuu na serikali ya kaunti ya Kiambu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya