Kiambu yashuhudia afueni baada ya serikali kuanza mikakati ya kusaidia wakazi

  • | NTV Video
    84 views

    Huku uchumi wa taifa ukiendelea kuwapiga chenga wengi na kuzorota, ni afueni kwa wakazi wa Kiambu ambao serikali yao imeanza mikakati ya kuwapa riziki itakayowasaidia kujifariji kutokana na makali ya uchumi uliozorota.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya