'Kifo cha ndugu yetu kibao kimeibua wimbi kubwa kulaani, si sawa'

  • | BBC Swahili
    1,852 views
    "Nataka niwaambie vikao vyote vitakavyo kwenda kupanga uovu huu, uovu unaopangwa tutaupata, kumepangwa sijui kushusha moto mpaka Samia aseme basi nimeshindwa naondoka, hiyo serikali au serikali ya samaki?" - #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw