Kijana aiba simu ya mwendeshaji mashtaka mahakamani

  • | Citizen TV
    2,876 views

    Joseph Ombogo alikuwa mahakamani kwa kesi ya unajisi

    Mshukiwa amekamatwa pamoja na mwenzake Kawangware

    Ombogo anazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Kibera