Kijana alia baada ya kubusu mkono wa Papa Francis
Kijana wa Kiindonesia alikumbatiwa na Papa Francis. Kijana huyo alilia wakati wa ziara ya papa alipokuwa akihudhuria mkutano wa muungano wa kidini na kukutana na wanufaika kutoka taasisi za hisani huko Jakarta Alhamisi (September 5).
Papa ambaye anasumbuliwa na maumivu ya magoti na mgongo, alikuwa katika kiti cha magurudumu akiingia katika ukumbi huku akiwasalimia watu. Wakati kijana huyo alipoinama kubusu mkono wa Papa, alianza kulia na Francis alikivuta kichwa cha kijana huyo karibu naye kifuani na kumkumbatia.
Papa Francis Alhamisi alitoa wito kwa Waislam na Wakristo kushinikiza viongozi wa dunia kukabiliana na hatari za mabadiliko ya hali ya hewa na misimamo mikali ya kiitikadi, na kueleza chimbuko la pamoja la imani za dini mbalimbali alipokuwa akifanya ziara katika msikiti mkubwa zaidi huko Southeast Asia huko Jakarta.
Papa yuko katika ziara ya Indonesia hadi Ijumaa (Septemba 6), ikiwa ni sehemu ya safari yake ya siku 12 katika nchi nne kwenye eneo la Southeast Asia na Oceania. - Reuters
#papafrancis #indonesia #jakarta #uislam #ukristo #ukatoliki #haliyahewa #viongozi #dunia
26 Nov 2024
- In the videos, a group of politicians were recorded engaging in verbal exchange before the rival factions resorted to violence.
26 Nov 2024
- More hospitals are set to be added to the SHIF coverage plan after CEO Robert Ingarisa made a new pronouncement.
26 Nov 2024
- Seven prison officers were implicated in the escape of three terror suspects in 2021.
27 Nov 2024
- Somalia's government on Tuesday said it will not recognise the re-election of the southern Jubaland region's leader, highlighting a growing rift with its semi-autonomous states.
27 Nov 2024
- Donald Trump threatened to begin his presidency with a massive trade war -- and diplomatic crisis -- as he demanded China, Canada and Mexico stop illegal immigration and drug smuggling into the United States or face punitive US import tariffs.
27 Nov 2024
- Trump threatens trade war on Mexico, Canada, China
27 Nov 2024
- Of the 17 inmates, six have already completed serving their prison terms.
27 Nov 2024
- G7 backs Venezuelan opposition candidate, rouses anger in Caracas
27 Nov 2024
- Legislators wonder how an office built at a cost of Sh600 million, now requires refurbishment worth Sh560 million.
27 Nov 2024
- Mr Odinga has secured the support of seven out of the eight EAC nations.
27 Nov 2024
- Trump, White House sign deal to begin transfer of power
27 Nov 2024
- Okong'o inspires Kenya to emphatic win
27 Nov 2024
- Crunch time as ODM goes to polls amid factional wrangles