Kijana aliyekuwa akiuza sungura ili apate karo apata matokeo bora ya KCSE

  • | KBC Video
    181 views

    BIDII HULETA MAFANIKIO

    Simon Kioko anayefahamika kwa jina la utani Mr Rabbit, mvulana wa miaka 18 kutoka kaunti ya Machakos ana kila sababu ya kutabasamu baada ya kufanya vyema kwenye mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne mwaka 2024. Simon aliyepata alama ya B katika shule ya upili ya Katheka Kai anasema alilazimika kujihusisha na biashara ya ufugaji sungura ili aweze kumudu karo yake ya shule.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive