Kijana auawa katika eneo la Kilibwoni kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    660 views

    Wakazi wa Kapkeruge kwenye wadi ya Kilibwoni kaunti ya Nandi waliandamana kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanaume mmoja ambaye alikuwa akifaya kazi kama afisa wa vijana eneo bunge la Ainabkoi kaunti ya Uasin Gishu