Kijana mwerevu kutoka Migori aomba msaada wa laki mbili kujiunga na chuo kikuu

  • | KBC Video
    46 views

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 katika kijiji cha Kakrao Kaunti ya Migori, anaomba masaada wa kifedha kutoka kwa wahisani ili kumwezesha kukusanya karo ya chuo kikuu kusomea shahada ya sayansi ya kompyuta. Brighton Otieno Ouma, amepokea mwaliko kujiunga na chuo kikuu cha Moi, ila hana uwezo wa kulipa karo ya shilingi laki mbili kwa mwaka zinazohitajika kumwezesha kuafikia ndoto yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive