Kijana wa miaka 15 alazwa hospitalini baada ya kula nyoka Bomet

  • | Citizen TV
    3,772 views

    Kijana wa miaka 15 yuko hali mbaya kiafya katika hospitali ya kimisheni ya Litein baada ya kula nyoka katika kijiji kimoja kaunti ya Bomet. Mamake kijana huyo akithibitisha kumuona mwanawe alitoa nyoka huyu aliyekufa mfukoni na kuanza kumla. Madaktari wanasema wamemtibu kuondoa sumu ya nyoka na anaendelea na anaendelea na matibabu. Willy Lusige na taarifa zaidi