Kikao cha kuwakagua makamishna wa IEBC kinaendelea

  • | Citizen TV
    148 views

    Jopo la kuwateuwa wanachama wapya wa tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC linaendelea na zoezi la kuwasaili wanaotaka nyadhifa za makamishna wa tume hiyo