Kikosi cha Kenya kilinyakua fedha kwenye mashindano ya ulengaji shabaha Afrika Kusini

  • | Citizen TV
    0 views

    Mlengaji shabaha mahiri Ibrahim Ndung’u aliongoza timu ya Kenya kuandikisha matokeo ya kuridhisha katika makala ya mwaka huu ya mashindano ya ipsc ya bara Afrika yaliyofanyika mjini matlosana nchini afrika kusini.