Kikosi cha polisi wa Kenya chaanza mafunzo Haiti kuimarisha usalama

  • | NTV Video
    886 views

    Kikosi cha tatu cha polisi wa Kenya waliotumwa Haiti kimeanza mafunzo ili kuimarisha utayari wao na ufanisi katika kushughulikia changamoto za kiusalama nchini humo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya