'... kila binadamu anastahili kuishi maisha yenye thamani...'

  • | VOA Swahili
    44 views
    Wakati Marekani ikielekea katika uchaguzi mkuu 2024, wananchi wa Afrika watoa wito kwa wagombea urais Marekani, Kamala Harris na Donald Trump wakisisitiza sera ya Marekani itakayopelekwa Afrika lazima izingatie kuwa kuna mataifa mengine kama Russia yaliyo na ushawishi katika bara hilo. Pia ujumbe kwa wagombea hao ni kuhusu haki ya kila binadamu kuwa anastahili kuishi. Endelea kusikiliza maoni yao... #wananchi #afrika #wagombea #urais #marekani #donaldtrump #kamalaharris #sera #ushawishi #russia #voa #voaswahili