Kilimo Biashara | Wafugaji wa Makueni wageukia kilimo cha kandarasi

  • | Citizen TV
    316 views

    Soko ni mojawapo ya mahitaji muhimu kwa mkulima yeyote anayetaka kufaidi na mazao yake. Hii ndio sababu ambayo sasa imeongeza idadi ya wakulima wanaofanya kilimo cha kandarasi ili kuepeuka hasara inayoweza kutokana na ukosefu wa soko.