Kilimo cha chai Kericho

  • | Citizen TV
    137 views

    Katibu katika wizara ya Kilimo Dkt.Paul Ronoh amewahimiza wakurugenzi wa kiwanda Cha majani chai Cha Kapkoros kuondoa kesi mahakamani inayozuia kutenganishwa kwa kiwanda hicho na viwanda vingine vya Kapkoros.