Kilimo cha viazi kinaunganisha jamii eneo la Kuresoi

  • | Citizen TV
    10 views

    Ukame wa mara kwa mara na baa la njaa ambalo huwafika wafugaji na wakazi wa kaskazini mwa nchi, umewachochea baadhi ya wafugaji katika mji wa mpakani wa Moyale kugeukia kilimo Cha uzalishaji mboga na matunda