Kilimo maeneo kame Kwale

  • | Citizen TV
    80 views

    Kwa miaka mingi, wakazi wa kinango na Lungalunga kaunti ya Kwale wamekuwa wakitegemea chakula cha msaada kutokana na maeneo hayo kuwa kame. Hata hivyo taswira sasa ni tofauti, tangu ujio wa ugatuzi kwani maeneo hayo yanazalisha chakula cha kutosha kupitia kilimo cha unyunyiziaji maji.