Kilio cha maskwota wa Kedong

  • | Citizen TV
    168 views

    Zaidi ya familia 1,200 ambazo ni maskwota wanaoishi kwenye shamba la Kedong Ranch kaunti ya Najuru wemepinga hatua ya kuhamishiwa katika eneo la Mukuru, wakisema si salama kwa makazi ya binadamu. Wakazi hao wanasema eneo hilo halina maji, shule, hospitali wala bararabara