Kilomita saba ya barabara ya lami imejengwa huko Bahati, Nakuru

  • | NTV Video
    120 views

    Kilomita saba za barabara katika eneo bunge la Bahati, kaunti ya Nakuru zimewekwa lami katika maeneo tofauti ikiwemo eneo la Bibilion, maili sita na Posta Oasis – Lanet kama njia mojawapo ya kurahisisha usafiri katika eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya