Kina mama wachanga wapata fursa nyingine Kibra

  • | KBC Video
    11 views

    Kibera, eneo ambalo changamoto za kimaisha mara nyingi huwa si haba, hekaya tofauti inajitokeza, taswira ya matumani na mabadiliko ni ujio mpya. Kutana na Winnie Muyaa, Lavenda Odhiambo, na akina mama wengine wachanga, ambao maisha yao ya awali yalikuwa ya aibu na masumbuko, lakini kupitia Polycom Girls, sasa ni mwamko mpya. Mwanahabari wetu Ben Chumba, alitangamana na wanawake hawa na kutuandalia makala haya

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive