Kina mama wafuzu kwenye mafunzo ya kibiashara Kajiado

  • | Citizen TV
    152 views

    Kina mama kutoka eneo la Purko kaunti ya kajiado wamefuzu baada ya kupata mafunzo ya miezi mitano. Mafunzo hayo yamewawezesha kupata ujuzi wa kujitegemea kwenye biashara na kujiajiri.