Kina Mama wahimizwa kutafuta nyadhifa za kisiasa

  • | KBC Video
    3 views

    Wanawake wametakiwa kuwania nyadhifa za kisiasa na uongozi katika viwango vya kitaifa na kaunti. Akiongea wakati wa jukwaa lililoandaliwa na shirika la kuwawezesha wanawake ambalo ni mpango unaodhamiriwa kuwaunganisha wapiga kura na viongozi wao , Sharon Kamau ambaye ni mkufunzi wa masuala ya uongozi aliwahimiza wanawake kutokuwa na hofu ya kuwania nyadhifa za uongozi katika nyanja zilizosheheni viongozi wanaume.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive