Kina mama wajifungua wakati wa ujio wa mwaka mpya

  • | KBC Video
    252 views

    Mwaka mpya unaashiria mwanzo mpya kwa kila mmoja na kwa kina mama wanaowakaribisha watoto wao wachanga duniani siku ya kwanza ya mwaka 2025 , ni Baraka marudufu.Msanahabri wetu Nancy Okware aliwahoji baadhi ya kina mama na baba katika hospitali ya kina mama kujifungua ya Pumwani iliyo kaunti ya Nairobi kuhusu kujifungua kwao na matarajio yao ya mwaka mpya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive