Kinara wa Wiper Kalonzo anamtaka Rais Ruto kusema wazi kuhusu bonasi za sukari

  • | Citizen TV
    2,974 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa anamtaka Rais William Ruto kuelezea kinaga ubaga kuhusu marupurupu aliyotoa kwa wakulima wa miwa wa Mumias