Kindiki akagua ujenzi wa bwawa la Yamo, eneo la Samburu

  • | Citizen TV
    666 views

    Naibu rais Profesa Kithure Kindiki leo amezuru Kaunti ya Samburu ambako amezindua miradi ya maendeleo. Akizungumza kwenye ziara hiyo Kindiki amesema hakuna eneo ambalo litatengwa na kuachwa nyuma kimaendeleo, kama Bonface Barasa anavyotuarifu