- 278 views
Naibu rais Kithure Kindiki ameorodhesha kusitishwa kwa vita na kurejeshwa kwa amani kwenye maeneo ambayo hukumbwa mara kwa mara na ujambazi katika maeneo ya North Rift na kaskazini mwa nchi kuwa miongozni mwa ufanisi aliyoafikiwa alipokuwa waziri wa usalama wa taifa. Kadhalika alizungumzia kushughulikiwa kwa mrundiko wa maelfu ya hati za usafiri katika afisi ya uhamiaji kuwa mojawapo wa ufanisi mkubwa alipokuwa waziri katika wizara hiyo. Hata hivyo alikabiliwa na kibarua kigumu kubainisha kuhusu visa vya utekaji nyara na mauaji ya baadhi ya waandamanaji wakati wa maandamano yaliyoongozwa na kizazi cha Z yaliyojiri alipokuwa akihudumu katika wizara hiyo.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Kindiki asema alikomesha ujangili North Rift na maeneo mengine
- 28 Nov 2024 - Police in Kijabe are searching for a gang of three robbery suspects who attacked a motorist last night at a bridge along Old Kijabe Road.
- 28 Nov 2024 - The cutting-edge facility, which can treat 140 million litres of water per day, is expected to provide a safe, clean, and dependable water supply to residents of the Nairobi metropolitan area and beyond.
- - 'Ruto listens,' CS Mbadi says amid rumours of dictatorial gov't
- 28 Nov 2024 - As the Environment and Land Court Justice conference enters day two in Eldoret, key stakeholders have noted that the ELC plays a key role in sorting out issues that have bedevilled Indigenous communities for a long time.
- - Parliamentary session on the Public Procurement and Asset Disposal Amendment Bill
- 28 Nov 2024 - Paulo de Meo Filho, a postdoctoral researcher at University of California, Davis, is part of an ambitious experiment aiming to develop a pill to transform cow gut bacteria so it emits less or no methane.
- 28 Nov 2024 - More than 250,000 people in Sri Lanka have been forced to flee after their homes were flooded.
- 28 Nov 2024 - I considered killing my violent husband, woman says
- 28 Nov 2024 - Mothers cry for justice, call for ethical reporting
- 28 Nov 2024 - How ocean alliances have shaped the shipping industry