Kindiki asema masoko 400 kujengwa kwenye kaunti zote

  • | KBC Video
    12 views

    Wafanyabiashara na wakulima katika kaunti ya Nakuru watanufaika pakubwa na mpango wa uboreshaji miundo mbinu ya masoko unaolenga kuimarisha na kunawirisha biashara ndogo ndogo kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive