Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awahimiza wananchi kujisajili kupiga kura

  • | Citizen TV
    733 views
    Duration: 2:46
    Naibu Rais Kithure Kindiki amewahimiza wakenya ambao hawajajisajili kama wapiga kura kujitokeza na kufanya hivyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kaunti za Murang’a na Kilifi, Kindiki amesema ni kupitia kura tu ndio Wakenya watawachagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Semi sawia zilisheheni katika kampeni za kupiga jeki makundi ya kina mama katika kaunti za Busia na Homa Bay.