- 3,558 viewsDuration: 1:39Naibu rais Kithure Kindiki ameendeleza kampeni za uchaguzi mdogo wa Mbeere kaskazini huku akimshutumu kinara wa DCP Rigathi Gachagua kwa kile ametaja kama kuwapotosha wenyeji wa Mbeere na kaunti za mlima Kenya. Kindiki alizuru maeneo ya Ngunyumu na Magacha kumpigia debe mwaniaji wa UDA leo Wamuthende. Kwingineko kinara wa DCP Gachagua naye alimfanyia kampeni mwaniaji wa chama cha DP Newton Kariuki na kuendeleza siasa za one term.