Kindiki azuru hospitali kuu ya mafunzo na rufaa ya kenyatta kukagua huduma za matibabu

  • | Citizen TV
    989 views

    Naibu rais professor kithure kindiki amezuru hospitali kuu ya mafunzo na rufaa ya kenyatta kukagua huduma za matibabu ikiwemo matumizi ya bima ya afya ya Taifa Care. Kulingana na Kindiki bima hiyo inatumika vizuri na kuwataka wakenya kuendelea kujisajili.