Kindiki: Kenya yaibuka imara licha ya kupoteza uenyekiti wa AUC

  • | KBC Video
    116 views

    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesema Kenya iliibuka kuwa dhabiti na imara zaidi licha ya kupoteza uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika kwa Mahmoud Ali Youssuf wa djibouti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News