Kindiki : Niko ngangari!

  • | KBC Video
    674 views

    Naibu wa rais Prof Kithure Kindiki amewataka wakenya kupuuza propaganda kuhusu mahala aliko huku akisema anaangazia kutekeleza mpango wa serikali ya kenya kwanza. Naibu wa rais ambaye amekosa kuonekana hadharani kwa wiki kadhaa, alijiunga na familia ya waziri wa utalii na wanyama pori Rebecca Miano wakati wa harusi ya mwana wao Peter na mpenzi wake Wambui huko limuru. Prof Kindiki aliwahimiza wakenya kudhamiria kujenga familia dhabiti na taifa bora kwa kuwafunza watoto wao maadili yafaayo ya kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive