Kiongozi wa chama cha Upinzani Korea Kusini ,aendelea kupata nafuu baada ya kuchomwa Kisu

  • | VOA Swahili
    243 views
    Kiongozi wa wa chama cha upinzani nchini Korea Kusini Lee Jae-myung aliyechomwa kisu kwenye shingo Jumanne aendelea kupata nafuu baada ya upasuaji. Lee alikuwa anatembea katika kundi la waandishi wa habari baada ya kutembelea eneo la uwanja wa ndege mpya wakati mwanamme mmoja alipolazimisha kuingia na kumvamia kwa kumchoma kisu kwenye shingo, picha za televisheni za korea kusini zimeonyesha .