Kioni ampigia upatu Matiang’i kuwania urais

  • | KBC Video
    108 views

    Chama cha Jubilee kimeendelea kumtafutia uungwaji mkono aliyekuwa waziri wa usalama wa taifa Fred Matiang’i kuwania urais kwa tiketi ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao. Katibu mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni amesema Matiang’i, aliyerejea humu nchini hivi majuzi, anafaa zaidi kwa wadhifa huo kutokana na kutambuliwa kwa uongozi wake imara na ufanisi katika utumishi wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive