Kisiangani: Serikali haitaingilia uhuru wa kujieleza mitandaoni

  • | KBC Video
    36 views

    Katibu katika idara ya utangazaji na mawasiliano Profesa Edward Kisiang’ani amewahakikishia wakenya kuwa uhuru wao wa kujieleza hautahujumiwa kupitia marekebisho ya sheria ya uhalifu wa mitandaoni. Kisiangani aliyefika mbele ya kamati ya bunge inayoshughulikia marekebisho ya muswada wa mawasiliano na habari kuhusiana na matumizi potovu ya kompyuta pamoja na uhalifu wa mitandaoni, aliondoa wasiwasi kwamba kurejelewa kwa sheria ya usalama wa mitandao ni hatua ya dharura ya kukabiliana na ukosoaji wa serikali mitandaoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive