Kitengela: Wamiliki wa nyumba wanaoachilia maji taka barabarani waonywa

  • | NTV Video
    84 views

    Manispaa ya mji wa Kitengela imepeana onyo kwa wamiliki wa nyumba wanaoachilia maji taka barabarani kuepuka kwa mkurupuko wa magonjwa yatokanayo na maji taka.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya