Kituo cha afya cha Omnicare chapinga kufungwa kwake

  • | KBC Video
    40 views

    Mahakama kuu imeidhinisha kesi kuhusu kituo cha matibabu cha Omnicare kuwa ya dharura ambapo imelishtaki baraza la madaktari na wataalam wa meno humu nchini baada ya baraza hilo kufunga afisi ya kituo hicho cha Lavington siku ya Alhamisi wiki jana kufuatia kifo cha mteja wao Lucy Wambui. Wizara ya afya siku ya Jumamosi wiki jana iliunga mkono hatua ya baraza hilo la kufunga kituo hicho ikitaja uchunguzi unaoendelea wa kutofuata kanuni unahitajika na baraza hilo. Haya yanajiri wakati familia, jamaa na marafiki wakikusanyika leo kumzika marehemu Lucy Wambui katika hafla ya mazishi nyumbani kwake katika eneo la Redhill eneo bunge la Kiambaa, kaunti ya Kiambu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive