23 Nov 2025 7:37 pm | Citizen TV 1,274 views Duration: 1:13 Rais William Ruto ametangaza kuwa shirika la mafuta la KPC litamilikiwa kwa pamoja na Kenya na Uganda ili kustawisha kanda hii.