Kiwanda cha kuzalisha hewa ya oksijeni chazinduliwa Kilifi

  • | Citizen TV
    76 views

    Kuna haja ya tani 2,000 za oksijeni kuzalishwa chini ya kiwanda kipya cha oksijeni kilichozinduliwa katika kaunti ya Kilifi ili kuziba pengo la hitaji hilo.