Kiwango cha uharibifu wa misitu chapiku upanzi wa miti

  • | KBC Video
    44 views

    Kamati ya mazingira katika bunge la kitaifa imeelezea wasiwasi kwamba kiwango cha uharibifu wa misitu ya humu nchini ni cha juu mno, na kinapiku juhudi za upanzi wa miti. Wabunge waliandaa kikao na katibu katika idara ya misitu Gitonga Mugambi kumtaka kuangazia madai kwamba maafisa wa huduma ya misitu KFS, wanahusika katika shughuli za ukataji miti kinyume cha sheria kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive