Kizaazaa chashuhudiwa eneo la Moi's Bridge huku wabunge wa UDA wakizozana

  • | Citizen TV
    8,802 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa kwenye mkutano wa kuchangisha pesa uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama cha UDA katika eneo la Moi's Bridge kaunti ya Uasin Gishu. Mkutano huu ulionuiwa kuchangisha pesa kwa waathiriwa wa mkasa wa moto eneo hili ulikatizwa kwa muda, Kama Seth Olale anavyoarifu