Kizaazaa kimeshuhudiwa leo katika mahakama ya Nakuru kwenye kesi ya mvuvi aliyepotea

  • | Citizen TV
    1,474 views

    Kizaazaa kimeshuhudiwa mahakamani Nakuru pale mahakama kuu ilipotupilia mbali kesi iliyotaka kuwasilishwa mahakamani kwa mvuvi aliyetoweka Brian Odhiambo. Hakimu Julius Nangea akiamua kuwa, hakukuwa na ushahidi wa kutosha kumshurutisha mkuu wa mbuga ya Nakuru na mwenzake wa kitengo cha upelelezi kumuwasilisha mvuvi huyo aliyetoweka.