Kliniki ya saratani yazinduliwa katika hospitali ya Samburu

  • | Citizen TV
    168 views

    Katika siku za hivi punde Kaunti ya Samburu imekuwa ikinakili kati ya visa Tano na Kumi Kila mwezi vya ugonjwa wa Saratani. Wagonjwa hao wakitatizika kupata huduma za matibabu katika kaunti hiyo. Hali hii imepelekea taasisi ya kukabili saratani nchini, kuzindua kliniki ya Saratani katika hospitali ya rufaa ya Samburu. Mwanahabari wetu Bonface Barasa alihudhuria uzinduzi huo na anatuarifu zaidi kutoka Samburu.