KNEC Yawashauri Watahiniwa Milioni 1.3 Wa Gredi Ya 6 Waliofanyia KPSEA 2024

  • | TV 47
    12 views

    KNEC Yawashauri Watahiniwa Milioni 1.3 Wa Gredi Ya 6 Waliofanyia KPSEA 2024

    Baraza la kitaifa la mitihani nchini KNEC limewashauri takriban watahiniwa milioni 1.3 wa gredi ya 6 waliofanya tathmini ya elimu ya shule za msingi (KPSEA) mwaka jana kupata matokeo yao katika tovuti ya tathmini ya umahiri CBA.

    Hii ni baada ya kutolewa kwa matokeo ya KPSEA jumanne usiku baada ya msukumo kutoka kwa wakenya kuhusu ucheleweshaji huo.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __