KNEC yazindua mikakati mipya ya kukabiliana na udanganyifu wa mitihani

  • | KBC Video
    7 views

    Wizara ya elimu imewahakikishia wazazi usalama na hadhi ya mitihani ya kitaifa ,baada ya kuzindua mbinu mpya za kukabiliana na visa vya udanganyifu.Mbinu ni hizo ni pamoja na uzinduzi wa karatasi maalumu za maswali kwa kila mtahiniwa katika mtihani wa kidato cha nne,KCSE.Mtihani huo wa kidato cha nne utaandaliwa kati ya tarehe 22 mwezi huu hadi tarehe 22 mwezi novemba,huku ule wa tathmin ya elimu ya shule ya msingi na elimu ya ngazi ya kati ukianza oktoba tarehe 28 hadi tarehe mosi mwezi novemba mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive